Shirika la Habari la Hawza, linachapisha riwaya ifuatayo kutoka katika kitabu Bihār al-Anwār.
Imam Jaafar Sadiq (a.s.):
«لاَ یَطْمَعَنَّ اَلْحَسُودُ فِی رَاحَةِ اَلْقَلْبِ.»
Asitumai mtu mwenye husda utulivu wa moyo na faraja ya nafsi.
Bihār al-Anwār, juzuu ya [70], ukurasa wa [252].
Maoni yako